Isaiah 40:13-14


13 aNi nani aliyeyafahamu mawazo ya Bwana,
au kumfundisha akiwa kama mshauri wake?

14 bNi nani ambaye Bwana ametaka shauri kwake ili kumwelimisha,
naye ni nani aliyemfundisha njia iliyo sawa?
Ni nani aliyemfundisha maarifa
au kumwonyesha mapito ya ufahamu?

Copyright information for SwhKC